Maskini
Huyu mtoto amezaliwa usiku wa kuamkia leo katika hospitali ya serikali
ya Shinyanga akiwa na Viungo sehemu zisizo sahihi na baada ya muda
alifariki Dunia
Najiuliza kwa Sauti Je nini
Sababu za Watoto Kama Hawa ? Kwani matukio ya wazazi kujifungua watoto
wa ajabu yamekuwa mengi nyakati hizi.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269