Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete
na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue (Wasita kushoto) wakiwa
katika picha ya pamoja na wajumbe wa Tume ya Utumishi wa Umma muda mfupi
baada ya Rais kuwaapisha ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi.kutoka
kjushoto ni Bibi Salome Mollel(Kamishna),Bibi Evelyne
Itanisa(Kamishna),Bw. Mgeni Mwalimu Ally(Kamishna),Mwenyekiti wa Tume
Dkt.Stephen James Bwana, Bwana George Yambesi(Kamishna),Bwana Yahya
Fadhili Mbila (Kamishna) na Bibi Adieu Nyondo (Kamishna)
(picha na Freddy Maro)
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269