Breaking News

Your Ad Spot

Mar 13, 2015

AJALI YA BASI MAFINGA , WAKIWEMO WANAFUNZI WA CHUO KIKUU DAR ES SALAAM


Hii ni picha ambayo inonyesha baadhi wanafunzi wa chuo kikuu cha Dar es Salaam ambao pia wamefariki katika ajali ya gari ambalo liliangukiwa na kontena eneo la Changarawe lililopo mji mdogo wa Mafinga mkoani Iringa.

Takribani wanafunzi watano kutoka Chuo Kikuu cha Dar es salaam wamepoteza maisha katika ajali iliyotekea jana.
 Wanafunzi hao walikuwa wakirejea chuo baada ya likizo kuisha.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages