Mkurugenzi wa Rungwe Band , akiwa na bandi hiyo akitumbuiza katika Ukumbi wa National Hotel iliyopo keko Jijini Dar es Salam
Mussa Karenga Muimbaji wa Rungwe Band kushoto, ambaye ni Mtoto wa marehemu shem Karenga, wakitumbuiza katika Ukumbi wa National Hotel iliyopo keko Jijini Dar es Salam kila Ijumamosi katika Ukumbi huo.
Muimbaji wa Rungwe Band ambaye ni Mtoto wa marehemu shem Karenga , Mussa Karenga akifanya vitu vyake usiku huu
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269