Breaking News

Your Ad Spot

Mar 17, 2015

WAHARIRI 22 WA VYOMBO VYA HABARI NCHINI WAFANYA ZIARA KATIKA KIWANDA CHA BIA (TBL) MBEYA.

   Meneja wa Kiwanda cha Bia cha TBL Mbeya, Waziri Jemedari akitoa maelezo kuhusu kiwanda hicho kwa Wahariri kutoka vyombo mbali mbali vya habari nchini.
Meneja wa Kampuni ya Vinywaji ya Konyagi(TDL) akifafanua jambo kwa Wahariri wa vyombo vya habari.
Mkurugenzi mkuu wa Kampuni ya Bia(TBL) na SUBMiller East Africa Operesheni, Roberto Jarrin, akionesha kitu ubaoni kwa Wahariri wa Vyombo vya habari nchini waliofanya ziara katika kiwanda cha Bia Tawi la Mbeya.
  Steve Kilindo (Corporate affairs& legal director) akitoa maelezo kwa Wahariri.
Meneja Mawasiliano na Uhusiano wa TBL, Editha Mushi akibadilishana mawazo na mmoja wa watumishi wa TBL Mbeya.
Wahariri wakifutailia maelezo mbalimbali kiwandani hapo
Wahariri wakifuatilia kwa makini mada zinazowasilishwa.
Meneja Viwango wa TBL Esther Mmari akitoa maelezo juu ya viwango vya bia zinazozalishwa kwa Wahariri.
Baadhi ya Watumishi wa TBL wakikagua makaratasi yaliyojazwa na Wahariri baada ya kupewa kazi ya kuchagua Bia aina ya Kilimanjaro yenye ubora.
Baadhi ya Wahariri wakiangalia kwa makini Bia zilizo kwenye grasi ili kugundua bia yenye ubora unaotakiwa.
 Wahariri pamoja na Watumishi wa TBL wakielekea kutembelea mitambo ya kutengenezea vinywaji katika kiwanda cha Bia cha TBL tawi la Mbeya.
Meneja wa Kiwanda cha Bia cha Mbeya Waziri Jemedari akitoa maelezo kwa Wahariri wakiwa wanatembelea na kuangalia mitambo mbali mbali kiwandani hapo.


Wahariri wakiwa Kiwandani wakiangalia mitambo mbali mbali.

Mmoja wa Wahariri akiuliza swali kutoka kwa Uongozi wa TBL.
Wahariri na Watumishi wa TBL wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kukamilisha ziara katika kiwanda cha Bia cha Mbeya.
Mmoja wa Waendesha mitambo katika kiwanda cha Bia cha Tbl akiendelea kuhamisha bia zilizotengenezwa tayari kwa kupelekwa sokoni.
. Sehemu ya ndani ya Kiwanda cha Bia cha TBL Mbeya.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages