Breaking News

Your Ad Spot

Apr 24, 2015

NAPE AKANUSHA CCM KUIBEBA ACT YA ZITTO KABWE

Katibu wa itikadi na uenezi wa CCM Nape Nnauye amesema chama chake hakikisaidii kwa fedha au kwa namna yoyote chama kipya cha ACT wala kiongozi wake mkuu Zitto Kabwe kama inavyoenezwa katika mitandao mingi ya kijamii. Source: Raia Tanzania

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages