Breaking News

Your Ad Spot

Apr 27, 2015

TETEMEKO LASABABISHA MAELFU YA WATU NEPAL KULALA NJE KWA SIKU YA PILI SASA, WATU KARIBU 2400 WAMEKUFA KUTOKANA NA JANGA HILO

Tetemeko Nepal

Maelfu ya raia wa Nepal wamelazimika kulala nje kwa siku ya pili mfulululizo huku barabara zilizofungwa na athari za baada ya tetemeko zikipunguza kasi ya kuwaokoa manusura.

Watu karibu 2400 wamefariki katika janga hilo.

Makundi ya misaada yamesema kuwa kuna uhaba wa na umeme na maji huku serikali ikisema kuwa mahema zaidi na vitanda vya mda vinahitajika kwa haraka.

Mwandishi wa BBC katika mji mkuu wa Kathmandu amesema mji uliojaa waathiriwa umeibuka ambapo watu hao wanalala katika mifuko ya plastiki kwa kuwa wanahofu ya kuishi ndani ya majumba yao.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages