Meneja wa Kiwanda cha Kampuni ya Bia
Tanzania (TBL), Calvin Martin (wapili kulia), akimkabidhi Mbunge wa
Ilala, Mussa Zungu baadhi ya vifaa vya kufanyia usafi kwa ajili ya
maeneo ya Mchikichini na Jangwani, Dar es Salaam jana. Kiwanda hicho
kilikabidhi vifaa vyenye thamani ya sh. milioni saba pamoja na hundi ya
sh. milioni 8 kwa ajili ya kazi ya usafi wa maeneo hayo. Kulia
anayemsaidia ni Ofisa Uhusiano na Mawasiliano TBL, Dorris Malulu.
Ofisa Uhusiano na Mawasiliano Kampuni ya Tanzania (TBL), Dorris Malulu, akimuonesha Mbunge
wa Ilala, Mussa Zungu moja ya nguo za kufanyia usafi wakati
walipokabidhi vifaa vya kufanyia usafi kwa ajili ya maeneo ya
Mchikichini na Jangwani, Dar es Salaam jana.

Ofisa Uhusiano na Mawasiliano Kampuni ya
Tanzania (TBL), Dorris Malulu, akizungumza wakati wa hafla hiyo,
kiwandani jijini Dar es Salaam jana. Kushoto ni Mbunge wa Ilala, Mussa Zungu aliyekabidhiwa vifaa hivyo.
Meneja wa Kiwanda cha Kampuni ya Bia
Tanzania (TBL), Calvin Martin, akizungumza wakati wa kukabidhi vifaa vya
usafi kwa Mbunge wa Ilala, Mussa Zungu (kushoto) kwa ajili ya kufanyia
usafi maeneo ya Mchikichini na Jangwani, Dar es Salaam. Kiwanda hicho
kilikabidhi vifaa mbalimbali vya usafi vyenye thamani ya sh. milioni
saba pamoja na hundi ya sh. milioni 8 kwa ajili ya kazi hiyo kwenye
maeneo hayo.
Meneja wa Kiwanda cha Kampuni ya Bia
Tanzania (TBL), Calvin Martin (kulia), akimkabidhi Mbunge wa Ilala,
Mussa Zungu baadhi nguo za kuvaa wakati wa kufanya usafi, wakati TBL
ilipokabidhi vifaa vya kufanyia usafi kwa ajili ya maeneo ya Mchikichini
na Jangwani jijini Dar es Salaam jana. Kulia anayemsaidia ni Ofisa Uhusiano na Mawasiliano TBL, Dorris Malulu.
Meneja wa Kiwanda cha Kampuni ya Bia
Tanzania (TBL), Calvin Martin (kulia), akimkabidhi Mbunge wa Ilala,
Mussa Zungu, reki za kufanyia usafi.
Meneja wa Kiwanda cha Kampuni ya Bia
Tanzania (TBL), Calvin Martin (kulia), akimkabidhi Mbunge wa Ilala,
Mussa Zungu, reki na glovu za kufanyia usafi. Kulia anayemsaidia ni Ofisa Uhusiano na Mawasiliano TBL, Dorris Malulu.
Meneja wa Kiwanda cha Kampuni ya Bia
Tanzania (TBL), Calvin Martin (kushoto), akimkabidhi Mbunge wa Ilala,
Mussa Zungu, mfano wa hundi ya sh. milioni 8 kwa ajili ya kazi za usafi
wa maeneo hayo. Wengine pichani ni baadhi ya Wenyeviti wa Mitaa ya

Mbunge wa Ilala, Mussa Zungu (kulia), akizungumza na Meneja wa Kiwanda cha Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Calvin Martin (kushoto), wakati wa makabidhino hayo.
Mbunge wa Ilala, Mussa Zungu (kulia), akizungumza na Meneja
wa Kiwanda cha Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Calvin Martin (wapili
kulia), wakati wa makabidhino hayo. Wapili kushoto ni Ofisa Uhusiano na Mawasiliano TBL, Dorris Malulu na kushoto ni Mhandishi wa Ujenzi, Kiwanda cha TBL, John Malisa.
Mbunge wa Ilala, Mussa Zungu, akiwapa
nasaha viongozi wa maeneo hayo, juu ya kuvitunza vifaa hivyo vya usafi
pamoja na mambo mengine.
Meneja wa Kiwanda cha Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Calvin Martin, akijadiliana jambo na Ofisa Uhusiano na Mawasiliano wa TBL, Dorris Malulu, wakati wa hafla hiyo.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269