Breaking News

Your Ad Spot

Apr 15, 2015

POLISI WAKAMATA TISA WAKIWA NA MILIPUKO, SARE ZA JESHI, MOROGORO

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Morogoro, Leonard Paulo, akioneesha kwa waandishi wa habari ( hawaonekani pichani) milipuko hatari aina ya ' Water explosives gel ' iliyokamatwa jana usiku kutoka kwa watuhumiwa tisa waliokuwa wamehifadhiwa ndani ya msikiti wa Suni uliopo Tarafa ya Kidatu, wilayani Kilombero mkoani Morogoro.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages