Breaking News

Your Ad Spot

May 24, 2015

BASI LA SUPER FEO LAPATA AJALI MBEYA

unnamed 
Basi LA Super Feo linalofanya safari zake kati ya Mbeya na Songea likiwa limetumbukia mtoni Leo asubuhi. basi hilo la Super Feo  lilikuwa likitokea Mbeya kwenda Songea limetumbukia mtoni baada ya kujaribu kulipita gari lingine  na kukutana na lori mbele yake kisha likatumbukia mtoni karibu na eneo la Pipeline Inyara wakati dereva wa basi hilo akijaribu kukwepa roli hilo.
  Bado haijafahamika ni abiria wangapi wamepoteza maisha ama kujeruhiwa Taarifa zaidi zitafuata kadri tutakavyozipata kutoka kwa mamlaka husika.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages