Mbunge wa Jimbo la Temeke Abbas Mtemvu akizungumza na wananchi wa kijiji Chawavuvi
Mta wa Chaurembo uliyopo Kurasini baada ya kutokea mwekezaji na kuwa na
sinto fahamu ya muda mrefu na kupelekea wananchi kufanya maandamano ya
amani hadi Ofisi za Serikali ya Mta huo na kumlazimu Mbunge kuingilia kati mgogoro huo Dar es Salaam leo (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
Mbunge wa Jimbo la Temeke Abbas Mtemvu akipitia moja ya mkataba
waliyoandikiwa wananchi hao na mwekezaji ambayo wananchi hao
hawajaridhishwa, Muhandisi Msaidizi wa Bandari na kiongozi wa kero za wananchi wa kijiji Chawavuvi Mta wa Chaurembo Kurasini David Mlassi akimweleza mambo fulani mbunge huyo (kushoto)
Wananchi wa kijiji cha Wavuvi wa Mta wa Chaurembo wakimsikiliza Mbunge huyo
Wananchi wa kijiji wa Chaurembo wakipiga makofi baada ya Mbunge huyo kuongea jambo
Wananchi wakimsikiliza kwa makini Mbunge wao alipokuwa akizungumza jambo
Wananchi wakiimba na kufurahi baada ya Mbunge wa jimbo la Temeke kutatua na kusikiliza kero zao
Nifuraha kwenda mbele wakidai walikuwa hawana amani na vitisho walivyokuwa wakivipata na kutakiwa kusaini mikataba kwa vitisho
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269