Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiwa amewasili katika ukumbi wa Sekretarieti, Makao Makuu ya CCM, mjini Dodoma , kuendesha kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM (NEC) leo, jioni. Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa CCM, Ras wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein na kulia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Philip Mangula na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimkaribsha Rais Kikwete kufungua kikao hicho.
Rais Kikwete kabla hajaanza kufungua kikao
Rais Kikwete akitoa hotuba kwa Wajumbe kabla ya kufungua kikao hicho.
Your Ad Spot
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
















No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269