Breaking News

Your Ad Spot

May 27, 2015

RAIS KIKWETE AFUNGUA MKUTANO WA CHAMA CHA WALIMU TANZANIA (CWT)

mr1
Rais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Mrisho kikwete akisalimiana na walimu waliofika katika mkutano mkuu wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT) unaoendelea  jijini Arusha .Jumla ya walimu 1000 wanahudhuria mkutano huo kutoka sehemu mbalimbali nchini.Picha na Mahmoud Ahmad
mr2
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Mrisho kikwete akiteta jambo na mmoja kati ya Waasisi wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT) Thom Abieko jana wakati alipofungua mkutano mkuu wa chama hicho jijini Arusha. Jumla ya walimu 1000 walihudhuria mkutano huo kutoka sehemu mbalimbali nchini.Picha na Mahmoud Ahmad
mr3
Rais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Mrisho kikwete akiwasili katika ukumbi wa mkutano mkuu wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT) unaoendelea  jijini Arusha .Jumla ya walimu 1000 walihudhuria mkutano huo kutoka sehemu mbalimbali nchini ambapo Raisi Kikwete alihutubia.Picha na Mahmoud Ahmad
mr4
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Mrisho kikwete akizungumza jambo  na mmoja kati ya Waasisi wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT) Thom Abieko jana wakati alipofungua mkutano mkuu wa chama hicho

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages