Gavana
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Servicus B.Likwelile ambaye pia
ni Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa Serikali na Makamu wa
Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Bw. AlyAbou- Sabaa
wakisaini mkataba wa Tsh 137.5 Billion kwaajili ya miradi mbalimbali ya
maendeleo kwa serikali ya Tanzania.Sherehe hiyo ilifanyika hapa Mjini
Abidjan- Ivory coast.
Makamu
wa Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Bw.AlyAbou – Sabaa na
Gavana wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Katibu Mkuu
Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa Serikali Dkt. Servicius Likwelile
wakipongezana mara baada ya kusaini mkataba wa Tshs 137.5 Billoni wa
kusaidia kwenye sekta ya umeme na nishati nchini Tanzania.
Makamu
wa Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Bw. AlyAbou-Sabaa na
Gavana wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzaniaa mbaye pia ni Katibu Mkuu
Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa Serikali Dkt. Servicius Likwelile
pamoja na wajumbe waliohudhuria katika hafla ya kutia saini mkataba wa
kiasi cha Tsh. 137.5 Billion kwaajili ya kusaidia miradi mbalimbali ya
maendeleo hasa umeme nchini Tanzania.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269