Mkurugenzi
Mtendaji wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Joseph Butiku akizungungumzwa
katika mkutano wa siku mbili wa mashauriano kuhusu amani, umoja na
utulivu wa nchi yetu ulioanza leo ambao utamalizika kesho. Mkutano huo
ulioandaliwa na Taasisi ya Mwalimu Nyerere (MNF), ulifanyika Ukumbi wa
Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNICC), Dar es Salaam leo
asubuhi.
Brigedea Jenerali mstaafu, Francis Mbena akihutubia kwenye mkutano huo.
Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba akihutubia.
Viongozi
mbalimbali wakiwa meza kuu. Kutoka kushoto ni Jaji mstaafu, Joseph
Warioba, Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Joseph
Butiku, Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi hiyo, Salim Ahmed Salim,Makamu wa
Kwanza wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), Maalim Seif
Sharif Hamad, Brigedea Jenerali mstaafu, Francis Mbene na Askofu
Tarcisius Ngalalekumtwa.
Viongozi wakiwa kwenye mkutano huo.
Viongozi wakiwa kwenye mkutano huo.
Viongozi
wa vyama vya siasa wakiwa kwenye mkutano huo. Kutoka kulia ni
Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi, James Mbatia, Mwenyekiti wa Chama
cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba na Katibu Mkuu wa Chama cha
Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Willibrod Slaa.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi
Zanzibar (SMZ), Maalim Seif Sharif Hamad (kushoto),akiteta jambo na na Askofu Tarcisius Ngalalekumtwa kwenye mkutano huo.
Zanzibar (SMZ), Maalim Seif Sharif Hamad (kushoto),akiteta jambo na na Askofu Tarcisius Ngalalekumtwa kwenye mkutano huo.
Mwenyekiti
wa Bodi ya Taasisi ya Mwalimu Nyerere (MNF), Salim Ahmed Salim
(waliokaa mbele katikati), akiwa katika picha ya pamoja na viongozi
mbalimbali baada ya kumaliza kipindi cha kwanza cha mkutano huo.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi
Zanzibar (SMZ), Maalim Seif Sharif Hamad (kulia), akisalimia na mama Balozi Getrude Mongela katika mkutano huo. Katikati ni Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya Mwalimu Nyerere (MNF), Salim Ahmed Salim.
Zanzibar (SMZ), Maalim Seif Sharif Hamad (kulia), akisalimia na mama Balozi Getrude Mongela katika mkutano huo. Katikati ni Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya Mwalimu Nyerere (MNF), Salim Ahmed Salim.
Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya Mwalimu Nyerere (MNF), Salim Ahmed
Salim (katikati), akizungumza na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya
Mapinduzi Zanzibar (SMZ), Maalim Seif Sharif Hamad, (kushoto) na Waziri
Mkuu mstaafu, Fredrick Sumaye wakati wakitoka kupiga picha ya pamoja
nje ya ukumbi huo

No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269