Breaking News

Your Ad Spot

May 20, 2015

RAIS WA MSUMBIJI AAGA LEO.

1
Rais wa Msumbiji Mhe,Filipe Nyusi akijibu masuala wakati alipofanya mahojiano na waandishi wa habari katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume leo akimaliza ziara yake Zanzibar(pichani) Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Zanzibar ZBC Hassan Mitawi (kulia) akiuliza masuala mbali mbali kwa Rais huyo(katikati) makamo wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi,
(Picha na Ikulu.}
2
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Alo Mohamed Shein akifuatana na mgeni wake Rais wa Msumbiji Mhe,Filipe Nyusi akiondoka katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume leo akimaliza ziara yake Zanzibar na kuelekea Dodoma,
3
Rais wa Msumbiji Mhe,Filipe Nyusi akiondoka katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume leo akimaliza ziara yake Zanzibar na kuelekea Dodoma (pichani) akiagana na Viongozi wa Ulinzi,
4 5
Rais wa Msumbiji Mhe,Filipe Nyusi akiagana na rais wa zanzibarna mwenyekiti wa Baraza la mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein wakati akiondoka katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume leo akimaliza ziara yake Zanzibar na kuelekea Dodoma

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages