Ofisa Uhusiano wa MSD, Benjamin Massangya akiwa ndani ya banda la MSD.
Ofisa
Uhusiano wa MSD, Benjamin Massangya (kulia), akimuelekeza jambo
mwananchi aliyetembelea banda la MSD katika maonyesho hayo yaliyoyoanza
leo na kufikia tamati baada ya wiki moja
Ofisa
Uhusiano Mkuu wa MSD, Etty Kusiluka (kulia), akimuelekeza jambo
Mwanahabari aliyetembelea banda la MSD katika maonyesho hayo. Katikati
ni Ofisa Udhibiti Viwango na Ubora wa MSD, Betia Kaema.
Ofisa Udhibiti Viwango na Ubora wa MSD, Betia Kaema (kushoto), akizungumza na mwananchi aliyetembelea banda la MSD.
Vifaa tiba vikioneshwa katika banda hilo.
Muonekano wa banda la MSD katika maonyesho hayo. (Imeandaliwa na mtandao wa www. habari za jamii.com-simu namba 0712-727062)
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269