Breaking News

Your Ad Spot

Jun 27, 2015

BURIANI MWANA HABARI KAMUKARA

 Buriani Edson Kamukara
 Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)  Dk.Wilibrod Slaa (wakwanza kushoto) akisalimiana na Mbunge wa Bukoba mjini, Khamis Kagasheki wakwanza kulia walipofika kuuaga  mwili wa Edson ulipowasili viwanja vya Leaders Club Dar es Salaam
  Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)  Dk.Wilibrod Slaa (wakwanza kushoto) akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Halihalisi Publishers Ltd, Saed Kubenea watatu kushoto wakati mwili wa Edson ulipo wasili katika viwanja vya   Leaders Club Dar es Salaam kulia ni Mkurugenzi wa Fedha na Utawala Chadema Anthony Komu  na wapili kushoto ni Mbunge wa Bukoba mjini, Khamis Kagasheki
  Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)  Dk.Wilibrod Slaa (wakwanza kushoto) akisalimiana na Mkurugenzi wa Fedha na Utawala Chadema Anthony Komu watatu kushoto wakati walipofika kuuaga mwili wa Edson katika viwanja vya Leaders Club Dar es Salaam, wakwanza kulia ni Mhariri wa Mwanahalisi Jabiri Idrissa na wapili kushoto ni  Mkurugenzi Mtendaji wa Halihalisi Publishers Ltd, Saed Kubenea

  Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)  Dk.Wilibrod Slaa akisalimiana na Mhariri wa Mwanahalisi Jabiri Idrissa
 waombolezaji wakiushusha  Mwili wa Marehemu Edson Kamukara toka kwenye gari maalumu  ulipowasili viwanja vya Leaders Club Dar es Salaam
 Waombolezaji wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa Mhariri wa Kampuni ya Mwanahalisi, Edson Kamukara wakati ulipowasili viwanja vya Leaders Club Dar es Salaam asubuhi, kwa ajili ya kuagwa. Kamukara alifariki dunia juzi na mazishi yake yanatarajia kufanyika nyumbani kwao Muleba mkoani Kagera siku ya ijumaa tata saa kumi jioni.

 Mwili wa aliyekuwa Mwandishi wa habari wa mtandao wa Mwanahalisi Online, edson Kamukara ukiwa umeandaliwa tayari kwa kuagwa unatarajiwa kuzikwa siku ya Ijumaa tatu saa kumi jioni. 
 Wanahabari wakiwa na huzuni nawengine kulia wakibadilishana jambo
 Wanahabari wakiwa na majonzi
 Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)  Dk.Wilibrod Slaa (wakatikati) akiteta jambo na Wakili wa kujitegemea na Mhariri Mkuu wa Mawio Nyaronyo Kicheere kulia ni Mbunge wa Bukoba mjini, Khamis Kagasheki


  Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe akisalimiana na Mbunge wa Bukoba mjini, Balozi Khamis Kagasheki (katikati) wakati wa kuuaga mwili wa Edoson Kamukara. kushoto ni Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)  Dk.Wilibrod Slaa




  Mwenyekiti wa Umoja wa Wamiliki wa Vyombo vya Habari Tanzania (MOAT), Regnald Mengi (watata kushoto ), akisalimiana  na Wakili wa kujitegemea na Mhariri Mkuu wa Mawio Nyaronyo Kicheere (wakwanza kushoto) Kulia ni Mbunge wa Bukoba mjini, Khamis Kagasheki na watatu kuli ni Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)  Dk.Wilibrod Slaa walipofika viwanja vya Leaders Club Dar es Salaam kuuaga mwili wa Edson Kamukara..






















 Mwakilishi wa wanafunzi waliosoma na marehemu Shule ya Sekondari ya Majengo, Joachim Mushi akitoa heshima za mwisho  kabla ya kutoa rambirambi yao ya sh.500,000




 Mzazi mwenza wa marehemu Edson, Groly mbwani akiwa amepoteza fahamu








  Mkurugenzi wa Kampuni ya Mwanahalisi, Saed Kubenea akiwaongoza wafanyakazi wake katika kutowa heshima za mwisho

  Mkurugenzi wa Kampuni ya Mwanahalisi, Saed Kubenea akiuaga mwili
 Mkurugenzi wa Kampuni ya Mwanahalisi, Saed Kubenea (katikati), akisaidiwa baada ya kuishiwa nguvu wakati akitoa heshima za mwisho kwa marehemu
  Mama mdogo wa marehemu  aliyekuwa Mwandishi wa habari wa mtandao wa Mwanahalisi Online Edson, Winifrida Ngaiza (kulia)  akiuaga mwili  katika viwanja vya Leaders Club Dar es Salaam

 Familia ya marehemu Kamukara ikiuaga mwili wa aliyekuwa Mwandishi wa habari wa mtandao wa Mwanahalisi Online Edson  katika viwanja vya Leaders Club Dar es Salaam

  Wanafamilia  wakiuaga mwili wa aliyekuwa Mwandishi wa habari wa mtandao wa Mwanahalisi Online
 Mwanafamilia akiuaga mwili wa aliyekuwa Mwandishi wa habari wa mtandao wa Mwanahalisi Online Edson  katika viwanja vya Leaders Club Dar es Salaam 
 Mzee wa Familia akiuaga mwili wa aliyekuwa  Mwandishi wa habari wa mtandao wa Mwanahalisi Online
 Dada mkubwa  wa marehemu Edson, Joyce Kamukara akiuaga mwili wa mdogo wake Mwandishi wa habari wa mtandao wa Mwanahalisi Online
Dada mkubwa  wa marehemu Edson, Joyce Kamukara akisaidiwa na wanahabari baada ya kuuaga mwili  (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA) Mmiliki wa ujijirahaa blog.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages