Breaking News

Your Ad Spot

Jun 29, 2015

JOE HART WAKATI ANAFUNGA NDOA

Golikipa wa Manchester City Joe Hart akiwa na mkewake Kimberly Crew

Golikipa wa Manchester City na na timu ya taifa ya England,  Joe Hart amefunga ndoa na Kimberly Crew.Sherehe ya wawili hao imefanyika jana nchini Italia na kuhudhuriwa na ndugu, jamaa na marafiki mbalimbali.
Bi. Kimberly akiwa mwenye tabasamu akiwasili tayari kwa kufunga ndoa

Nahodha na mlinzi wa Manchester City Vincent Kompany (kulia) akiwasili kwenye ndoa ya mchezaji mwenzake

Nyota wa zamani wa Man City Adam Jonson akiwasili na mkewe

Wachezaji, ndugu, jamaa na marafiki wakiwasili kwenye eneo husika

Joleon Lescott nyota wa zamani wa Manchester City kwa sasa akikipiga West Brom akiwasili kushirikiana na golikipa wake wa zamani

Wasaidizi wa bibi harusi wakishuka kwenye gari wakiwa wakiwa wameshika maua tayari kuelekea eneo la tukio

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages