Breaking News

Your Ad Spot

Jun 17, 2015

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKIZUNGUMZA KABLA YA DUA MAALUMU YA (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)KUMUOMBEA ALIYEKUWA MUFTI NA SHEIKH MKUU WA TANZANIA ISSA BIN SHAABAN SIMBA DAR ES SALAAM

Makamu wa Rais Mohammed Gharib Bilal akizungumza na kutoa salam za rambirambi wakati wa  Ibada maalumu ya kumuombea aliyekuwa Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania Issa Bin Shaaban Simba, Dar es Salaam  kabla ya  mwili wake kusafirishwa kwenda kijijini kwake Majengo mkoani Shinyanga
Mzee Kingunge Ngombalemwiru ni mmoja wa washiriki
Sheikh. Imam Mkuu Msikiti wa Ihsani uliopo Temeke Vetenari  Nurdin Kishki akizungumza na Viongozi mbalimbali na waumini  wakati wa  Ibada maalumu ya kumuombea aliyekuwa Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania Issa Bin Shaaban Simba, Dar es Salaam  kabla ya  mwili wake kusafirishwa kwenda kijijini kwake Majengo mkoani Shinyanga
Sehemu ya wanahabari wakipata matukio





Balozi wa Palestine Nchini Tanzania  Dkt Nasri Abu Jaish akisalimiana na Rais Mstaafu Mwinyi walipokutana wakati wa  Ibada maalumu ya kumuombea aliyekuwa Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania Issa Bin Shaaban Simba, Dar es Salaam  kabla ya  mwili wake kusafirishwa kwenda kijijini kwake Majengo mkoani Shinyanga
Mkuu wa Wilaya Temeke Sofia Mjema akishiriki katika  Ibada maalumu ya kumuombea aliyekuwa Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania Issa Bin Shaaban Simba, Dar es Salaam  kabla ya  mwili wake kusafirishwa kwenda kijijini kwake Majengo mkoani Shinyanga

Waumini wa Dini ya Kiislam wakiswali Swala ya Alasiri baada ya kusoma Ibada maalumu

Makamu wa Rais   Dkt.  Bilal  na baadhi ya waumini  wakishiriki Ibada ya kuombea jeneza  (pichani halipo) iliyoongozwa na Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi   wakati wa Ibada maalumu ya kumuombea aliyekuwa Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania Issa Bin Shaaban Simba, Dar es Salaam  kabla ya  mwili wake kusafirishwa kwenda kijijini kwake Majengo mkoani Shinyanga.(PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages