Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati
akifungua rasmi Kongamano la Siku ya Tabianchi Afrika, lililoandaliwa na
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kwa kushirikiana na Nchi Wanachama wa
Umoja wa Ulaya. Kuongamano hilo lilifanyika jana Juni 17, 2015 kwenye
Ukumbi wa Nkhurumah Chuo Kikuu Dar es Salaam, leo.
Picha zote na OMR
Baadhi ya wadau na wanafunzi waliohudhuria Kongamano hilo,wakimsikiliza Makamu wa Rais Dkt. Bilal, wakati akihutubia.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo
kutoka kwa watafiti wa Kituo cha ‘Center For Climate Changes Styles’,
Khalid Mwakobaa (kulia) na Rdith Benedict, wakati alipotembelea katika
Mabanda ya maonesho kwenye Kongamano la Siku ya Tabianchi Afrika,
lililoandaliwa na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kwa kushirikiana na Nchi
Wanachama wa Umoja wa Ulaya, lililofanyika kwenye Ukumbi wa Nkhurumah
Chuo Kikuu Dar es Salaam, leo.
Makamu wa Rasi wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na
wanafunzi wa Chuo Kikuu UDSM, baada ya kufungua Kongamano la Siku ya
Tabianchi Afrika, lililoandaliwa na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kwa
kushirikiana na Nchi Wanachama wa Umoja wa Ulaya. Kuongamano hilo
lilifanyika jana Juni 17, 2015 kwenye Ukumbi wa Nkhurumah Chuo Kikuu Dar
es Salaam, leo.
Picha ya pamoja kwa kumbukumbu, baada ya ufunguzi wa Kongamano hilo.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269