Rais
Kikwete akimkabidhi Kamishna Jenerali wa Magereza, John Casmir Minja
ithabati rasmi kwa ajili ya Chuo cha Mafunzo cha Ukonga iliyotolewa na
Kaimu Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Elimu ya ufundi(NACTE)Dkt.
Adolf Rutayuga wakati wa sherehe za Kufunga Mafunzo ya Uongozi ya Ngazi
za Juu Kwa Maafisa wa Jeshi la Magereza katika Chuo Cha Maafisa wa Jeshi
la Magereza Ukonga.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete, akimvisha Cheo cha Mrakibu Msaidizi wa
Megereza, Amina Juma Lidenge kwa niaba ya wahitimu wenzake 104 wakati
wa sherehe za Kufunga Mafunzo ya Uongozi ya Ngazi za Juu Kwa Maafisa wa
Jeshi la Magereza katika Chuo Cha Maafisa wa Jeshi la Magereza Ukonga
jijini Dar es salaam.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akimtunuku cheo Mwanafunzi Alyefanya Vizuri
Katika Masomo ya darasani Inspekta Saidi Jacob Seni wakati wa sherehe
za Kufunga Mafunzo ya Uongozi ya Ngazi za Juu Kwa Maafisa wa Jeshi la
Magereza katika Chuo Cha Maafisa wa Jeshi la Magereza Ukonga jijini Dar
es salaam.
Askari
Magereza wa enzi za Mkoloni wakionesha ukakamavu wao mbele ya Rais
Kikwete wakati wa sherehe za Kufunga Mafunzo ya Uongozi ya Ngazi za Juu
Kwa Maafisa wa Jeshi la Magereza katika Chuo Cha Maafisa wa Jeshi la
Magereza Ukonga jijini Dar es salaam.
Rais
Jakaya Mrisho kikwete akifunga Mafunzo ya Uongozi ya Ngazi za Juu Kwa
Maafisa wa Jeshi la Magereza katika Chuo Cha Maafisa wa Jeshi la
Magereza Ukonga jijini Dar es salaam leo Juni 27, 2015. PICHA ZOTE NA IKULU
Rais
Jakaya Mrisho kikwete akisalimiana na maafisa wanaoshughulikia kitengo
cha SACCOS cha Magereza kwenye banda la maonesho ya sherehe za Kufunga
Mafunzo ya Uongozi ya Ngazi za Juu Kwa Maafisa wa Jeshi la Magereza
katika Chuo Cha Maafisa wa Jeshi la Magereza Ukonga jijini Dar es salaam
leo Juni 27, 2015.
Waziri
wa Mambo ya Ndani Mhe Mathias Chikawe akipogea ithabati rasmi kwa ajili
ya Chuo cha Mafunzo cha Ukonga kutoka kwa Kaimu Katibu Mtendaji wa
Baraza la Taifa la Elimu ya ufundi(NACTE)Dkt. Adolf Rutayuga wakati
wa sherehe za Kufunga Mafunzo ya Uongozi ya Ngazi za Juu Kwa Maafisa wa
Jeshi la Magereza katika Chuo Cha Maafisa wa Jeshi la Magereza Ukonga.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akikagua gwaride la wahitimu 104 wakati
wa sherehe za Kufunga Mafunzo ya Uongozi ya Ngazi za Juu Kwa Maafisa wa
Jeshi la Magereza katika Chuo Cha Maafisa wa Jeshi la Magereza Ukonga
jijini Dar es salaam leo Juni 27, 2015
Rais
Jakaya Mrisho kikwete na Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe. Mathias Chikawe
na Kamishna Jenerali wa Magereza John Casmir Minja wakifurahia samani
katika banda la maonesho ya sherehe za Kufunga Mafunzo ya Uongozi ya
Ngazi za Juu Kwa Maafisa wa Jeshi la Magereza katika Chuo Cha Maafisa wa
Jeshi la Magereza Ukonga.
Rais
Jakaya Mrisho kikwete na Kamishna Jenerali wa Magereza John Casmir
Minja wakiwa na Wakuu wa Jeshi la Magereza wa nchi za SADC na Kenya
waliohudhuria sherehe za Kufunga Mafunzo ya Uongozi ya Ngazi za Juu Kwa
Maafisa wa Jeshi la Magereza katika Chuo Cha Maafisa wa Jeshi la
Magereza Ukonga jijini Dar es salaam leo Juni 27, 2015
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete, Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe. Mathias Chikawe na
Kamishna Jenerali wa Magereza John Casmir Minja wakiwa katika picha ya
pamoja na Makamishna Wakuu wa Magereza Wastaafu. Kutoka kulia ni Mhe.
Augustine Nanyaro, Mhe. Nicas Pius Banzi, Kamishna Generali Mkuu wa sasa
John Minja, Rais Kikwete, Alhaj Jumanne Mangara, Mzee John Mwanguku, na
Kamishna wa Huduma za Urekebishaji Mstaafu Mama Aziza Mursali sherehe
za Kufunga Mafunzo ya Uongozi ya Ngazi za Juu Kwa Maafisa wa Jeshi la
Magereza katika Chuo Cha Maafisa wa Jeshi la Magereza Ukonga jijini Dar
es salaam leo Juni 27, 2015.
Rais
Jakaya Mrisho kikwete na Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe. Mathias Chikawe
na Kamishna Jenerali wa Magereza John Casmir Minja wakiwa na wahitimu
wa Mafunzo ya Uongozi ya Ngazi za Juu Kwa Maafisa wa Jeshi la Magereza
katika Chuo Cha Maafisa wa Jeshi la Magereza Ukonga jijini Dar es salaam
leo Juni 27, 2015
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269