Rais Jakaya Mrisho Kikwete na
viongzi wengine wa Umoja wa Afrika wakiimba wimbo wa umoja huo katika
ukumbi wa Sandton Convention Centre Jijini Johannsburg, Afrika Kusini,
wakati wa ufunguzi wa mkutano wao wa 25 wa kawaida leo June 14, 2015
Rais Jakaya Mrisho Kikwete
na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu na Utawala Bora Zanzibar
Dkt. MwinyihajiMakame Mwadini na Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia na
Watoto Mhe. Sophia Simba katika ukumbi wa Sandton Convention Centre
Jijini Johannsburg, Afrika Kusini, wakati wa ufunguzi wa mkutano wao wa
25 wa kawaida wa Wakuu wa nchi anachama wa Umoja wa Afrika leo June 14,
2015
Wajumbe wakati wa ufunguzi wa mkutano wao wa 25 wa kawaida wa Wakuu wa nchi anachama wa Umoja wa Afrika leo June 14, 2015
PICHA ZOTE NA IKULU
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269