.

BONANZA LA KOMBEA LA MASAUNI LAFANA

Jul 10, 2015

Mchezaji wa Zamani wa Timu ya Taifa ya Zanzibar Salum Bausi akiikagua timu ya Kilimani wakati wa mchezo wao wa mwisho na timu ya Miembeni uliofanyika katika uwanja wa malindi Zanzibar timu ya Miembeni imeshinda 3--0
Mchezaji wa Zamani wa Timu ya Taifa ya Zanzibar Salum Bausi akiikagua timu ya Miembeni wakati wa mchezo wao wa mwisho na timu ya Kilimani uliofanyika katika uwanja wa malindi Zanzibar timu ya Miembeni imeshinda 3--0
Kocha Bausi akiwa na Kiongozi wa TAYI Adaya, wakifuatilia michuano ya Bonaza la Masauni Cup linalofanyika katika viwanja vya mnazi mmoja usiku. Timu ya Miembeni ishinda 3--0.
Mchezaji wa timu ya Kilimani akiruka kihuzi cha mchezaji wa timu ya Miembeni wakati wa mchezo wao wa kumaliza mzunguko wa kwanza na kuingia nusu fainali ya Bonaza hilo.
   Wachezaji wa Miembeni na Kilimani wakiwa katika hartakati za kuzuiya mpiwa katika mchezo wao wa Bonaza.uliofanyika katika viwanja vya malindi mnazi mmoja.


Mashabiki wa timu ya Miembeni Watoto wa Kidedea wakishangilia timu yao ilipoandika bao la tatu na la mwisho katika mchezo huo wa Bonaza la Kombe la Masauni Cup

Mchezaji wa timu ya miembeni akimzuiya chezaji wa timu ya Kilimani wakati wa mchezo wao wa Bonaza uliofanyika katika viwanja vya malindi usiku jana timu ya Miembeni imeshinda 3--0
Mchezaji wa timu ya Kilimani akimpita mchezaji wa timu ya Miembeni katika mchezo wa kuwania Kombe la Bonaza la Masauni Cup linalofanyika katika viwanja vya malindi mnazi mmoja Zanzibar timu ya miembeni imeshinda 3--0.,

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ยช