Mbunge
viti maalum kundi la wananwake (UWT) Catherine Magige Mkoa wa Arusha
akizungumza jana katika mkutano wa wagombea Ubunge 12 kupitia chama cha
mapinduzi waliofanya ziara ya kujinadi kwa wananchama pamoja na wananchi
kuomba ridhaa ya kupeperusha bendera ya chama hicho jana katika mtaa wa
kati(CCM Mkoa),ambapo hivi karibuni Catherine aliibuka ushindi wa
kishindo kwa kura 409 kati ya kura 560 huku anayemfwatia akipata kura
248.
Mbunge viti maalum kundi la wananwake (UWT) Catherine Magige Mkoa wa Arusha
akisalimiana na wanachama wa chama hicho jana jijini Arusha,Aliwatoa
rai kwa wananchi na wananchama wa chama cha mapinduzi kumuunga mkono
mgombea Urais Dk. John Pombe Magufuli
kwani ndio chaguo la CCM,huku pia akisisitiza wanaccm kuchagua kiongozi
kwanzia ngazi ya udiwani,ubunge anayekubalika ndani ya CCMna nje ya CCM
Katibu
wa wazazi Mkoa wa Arusha Mayasa Kimbau ambaye pia ni mratibu wa Mkoa
akiteta jambo na
Mbunge viti maalum kundi la wananwake (UWT) Catherine Magige Mkoa wa
Arusha jana katika mtaa wa kati (CCM Mkoa) wakati wa ziara ya watia nia
wa chama cha mapinduzi wakijitambulisha na kujinadi kwa wanachama kuomba
ridhaa ya kupitishwa na chama hicho katika nafasi ya Ubunge
Mbunge viti maalum kundi la wananwake (UWT) Catherine Magige Mkoa wa Arusha
akifurahia jambo na mwenyekiti wa wilaya ya Arusha katika ofisi za
chama cha mapinduzi jijini Arusha jana wakati watia nia ubunge 12
kupitia chama hicho walipata nafasi ya kujinadi kwa wananchi na
wanachama wa chama hicho
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269