Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma
Kikwete wakiwasili katika Uwanja wa Ndege wa kijeshi wa Fairbairn mjini
Canberra katika siku ya mwanzo ya ziara yake Rasmi ya siku nne ya
Kiserikali nchini Australia
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakitembezwa katika
jumba la Makumbusho ya Taifa ya vita - Australian War Memorial - mjini
Canberra zilikohifadhiwa kumbukumbu mbalimbali ambayo zinazoonesha
jinsi Australia ilishiriki kwenye vita mbalimbali katika siku ya mwanzo
ya ziara yake ya Kiserikali nchini Australia
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka shada la maua na kutoa heshima katika
kaburi la askari wa Australia wakati alipotembelea jumba la Makumbusho
ya Taifa ya vita - Australian War Memorial - mjini Canberra
zilikohifadhiwa kumbukumbu mbalimbali ambayo zinazoonesha jinsi
Australia ilishiriki kwenye vita mbalimbali katika siku ya mwanzo ya
ziara yake ya Kiserikali nchini Australia
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na
\Watanzania waishio Australia alipokutana nao na kuongea nao katika siku
ya mwanzo ya ziara yake ya Kiserikali nchini Australia.
Your Ad Spot
Jul 28, 2015
Home
Unlabelled
RAIS KIKWETE AFANYA ZIARA YA KISERIKALI AUSTRALIA, ATEMBELEA MAKUMBUSHO YA VITA NA KUZUNGUMZA NA JUMUIA YA WATANZANIA
RAIS KIKWETE AFANYA ZIARA YA KISERIKALI AUSTRALIA, ATEMBELEA MAKUMBUSHO YA VITA NA KUZUNGUMZA NA JUMUIA YA WATANZANIA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269