Chui akiwa kwenye kisimaMwanaume mmoja kutoka katika kijiji cha Guwahati nchini India amemuokoa chui kutoka kwenye kisima ambako alikuwa amedumbukia. Angalia picha jinsi ilivyokuwa: Mawanaume huyo akipanda ngazi huku akiwa amembeba chui huyo Wananchi wakijitahidi kumvuta mwanaume huyo. -via taarifa
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269