Mshauri wa Kimataifa wa Kujitegemea wa
Kampuni ya Mabibo Beer Wines and Spirits Limited James Rugemalira
akitangaza nia na kuwakaribisha wageni mbalimbali katika hafla hiyo.
Bwana Rugemalira (kulia) akimweleza
jambo Daktari Bingwa wa magonjwa ya Kansa kutoka nchini India Prof.
Antony Pais walipokutana katika hafla hiyo.
Bwana Rugemalira (Kulia) akiteta jambo
na Mwenyekiti wa Ukanda Maalumu wa Kiuchumi Tanga, Chris Incheul Chae
ambaye pia hakukosa kuhudhuria hafla hiyo.
Bwana Rugemalira (kulia ) akisalimiana
na Mwanyekiti wa Kamati ya Mahusiano na Umma wa Kampuni ya Mabibo Beer
wines and Spirits Limited, Anic Kashasha.
Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Kampuni ya
Mabibo Beer Wines and Spirits Limited, Secelela Balisidya naye
alikuwepo kuhakikisha mambo yanaenda sawa.
Meneja Mkuu wa Kampuni ya Mabibo Beer
Wines and Spirits Limited, Alice Marco (Kulia) naye alikuwepo
kuhakikisha kila mgeni anapata vinywaji vya Windhoek vya kutosha. Hakuwa
na mzaha katika swala hilo.
Mdau Faustine Kapama (kushoto) na mawakili Pachal Kamala na Sosten Mbedule walikuwepo kufurahia kinywaji murua cha Windhoek.
Ni wageni wengi walikuwepo kuhudhuria hafla hiyo.
Unaona mambo yanavyochangamsha? ni Windhoek tu kwa kwenda mbele.
Huwezi kuamini ilikuwa furaha kila kona.
Mwenyekiti Mtendaji wa Kampuni ya
Mabibo Beer Wines and Spirits Limited, Benedicta Rugemalira (kushoto) na
mwanasheria wa kampuni hiyo, Respicius Didace (kulia) wakiwa na wageni
mbalimbali kutoka nje ya nchi walipohudhuria hafla hiyo.
Dr Dee (Kulia) akiwa na madaktari wengine katika halfla hiyo.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269