.

JAJI MARK BOMANI MGENI RASMI UTOAJI TUZO KWA WATANZANIA WALIOTOA MCHANGO MKUBWA KUTETEA HAKI NA JAMII NCHINI DAR ES SALAAM JANA

Jul 20, 2015

 Kikundi cha kwaya cha Nyota ya asubuhi, cha kanisa la Wasabato, Ukonga, kikitoa burudani wakati wa utoaji tuzo kwa Watanzania waliotoa mchango mkubwa katika kutetea haki na jamii nchini, Dar es Salaam jana. Mmoja wa waliopata tuzo hizo ni pamoja na Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila. Tuzo hizo zilitolewa na Taasisi ya Dream Success Enterprises ya jijini. (PICHA ZOTE ZOTE NA KHAMISI MUSSA)

 Jaji mstaafu Mark Bomani (kulia) akimkabidhi Tuzo ya maono mapevu, Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila.
 Jaji mstaafu Mark Bomani akimvisha skafu yenye Neno Tanzania Mkurugenzi wa Under the Same Sun,Vicky Ntetema.
 Jaji mstaafu Mark Bomani akimkabidhi Tuzo ya  uwazi na ukweli  Mkurugenzi wa Under the Same Sun,Vicky Ntetema tuzo ya ubunifu, tuzo ambazo zimetolewa na taasisi ya Dream Success Enterprises
 Jaji mstaafu Mark Bomani Skafu Saed Kubenea  taasisi ya Dream Success Enterprises Dar es Salaam
 Jaji mstaafu Mark Bomani akimkabidhi tuzo  Mwandishi Saed Kubenea tuzo ya uwazi na ukweli , ambazo zimetolewa na taasisi ya Dream Success Enterprises Dar es Salaam

 Jaji Mstaafu Mark Bomani katika picha ya pamoja (wa tano kulia ) wakiwa na baadhi ya viongozi wa Taasisi ya Dream Success Enterprises mmoja wao   ni Joshua Lawrence (kushoto) na  kulia ni Profesa Aldin Mutembei  baada ya kukabidhiwa tuzo hizo  Dar es Salaam jana


 Baadhi ya wananchi walio shiriki
 Mkurugenzi wa Under the Same Sun,Vicky Ntetema, akizungumza jambo baada ya kikabidhiwa tuzo hiyo


0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ª