Breaking News

Your Ad Spot

Jul 18, 2015

LULU KAYAGE NA MWANNE HAJI KUZIDUNDA KESHO

Promota Stamili Mmtengwa katikati akiwainuwa juu mabondia Mwanne Haji kushoto na Lulu Kayage baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika leo siku ya Sikukuu ya Iddi Mosi katika ukumbi wa Friends Corner,  Manzese Dar es salaam Picha na SUPER D BOXING NEWS
Mabondia Mmwanne Haji kushoto na Lulu Kayage wakitunishiana misuli baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika siku ya Iddi Mosi Katika ukumbi wa Friends Corner Manzese Dar es salaam Picha na SUPER D BOXING NEWS

Bondia Lulu Kayage akipimwa na Ddokta Michael Madadidi kwa ajili ya mpambano wake na mwanne Haji

Promota Stamili Mmtengwa katikati akiwainuwa juu mabondia Habibu Pengo kushoto na Yonas Segu

Bondia Mwanne Hhaji akipimwa Afya na Dokta Mmixchael Midadi

Bondia Lulu Kayage akipimwa na Ddokta Michael Madadidi kwa ajili ya mpambano wake na mwanne Haji

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages