Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akisalimiana na Dr.Xu Zhuogun (kushoto) Kiongozi
wa Ujumbe wa madaktari wapya wa Kichina waliofika Ikulu mjini Zanzibar
kusalimiana na Rais (katikati) Balozi wa China nchini Tanzania Xie
YunliangRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Ujumbe wa madaktari wapya wa Kichina waliofika Ikulu mjini Zanzibar kusalimiana na Rais(wa pili kulia) Balozi wa China nchini Tanzania Xie Yunliang,akifuatiwa na Kiongozi wa Ujumbe huo Dr.Xu Zhuogun

Baadhi ya Madaktari wa Kichina waliofika ikulu mjini Zanzibar kuonana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein madaktari hawa watakuwepo nchini kushirikiana na madaktari wazalendo kutoa huduma katika Hospitali mbali mbali Unguja na Pemba (Picha na Ikulu, Zanzibar).

No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269