Breaking News

Your Ad Spot

Jul 20, 2015

MAJAMBAZI WALIOTEKA KITUO CHA POLISI STAKI SHARI WATIWA MBARONI NA WATATU KUUWAWA WAKIKIMBIZWA HOSPITALI BAADA YA MAJIBISHANO NA POLISI

 Waandishi wa habari katika Mkutano ulioitishwa na  Kamanda wa Polisi wakanda maalumu ya Dar es Salaam, Suleiman Kova
 Baadhi ya Bunduki zilizo porwa katika kituo cha Polisi cha Staki Shari Dar es Salaam zikionyeshwa kwa waandishi wa habari Dar es Salaa
 Sehemu ya  Waandishi wa habari
Kamanda wa polisi wa kanda maalumu ya Dar es Salaam,  kamishina Suleimani Kova akizungumza na waandishi wa habari
 Kamanda wa polisi wa kanda maalumu ya Dar es Salaam,  kamishina Suleimani Kova akionyesha baadhi ya bunduki zilizoporwa katika kituo cha polisi cha sitaki shari leo
 Kamanda wa polisi wa kanda maalumu ya Dar es Salaam,  kamishina Suleimani Kova akionyesha, fedha Tsh. Milioni 170, zilizokuwa zimechimbiwa shimo na majambazi hao zikiwemo na bunduki
 Kamanda wa polisi wa kanda maalumu ya Dar es Salaam,  kamishina Suleimani Kova akionyesha majina ya majambazi hao
 Kamanda wa polisi wa kanda maalumu ya Dar es Salaam,  kamishina Suleimani Kova akionyesha baadhi ya pikipiki zilizo kuwa zikitumiwa na majambazi hao
Baadhi ya askari na waandishi wakimsikiliza Kamanda wa polisi wa kanda maalumu ya Dar es Salaam,  kamishina Suleimani Kova alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari
SILAHA ZILIZOPORWA NA MAJAMBAZI KITUO CHA POLISI STAKISHARI ZANASWA Baadhi ya silaha zilizoporwa na majambazi walivamia Kituo cha Polisi cha Stakishari Ukonga, na kuua polisi wanne na raia watatu zikioneshwa leo na Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Suleiman Kova, katika Kituo Kikuu cha Polisi, Dar es Salaam baada ya kuzikamata katika msako mkubwa na kuzikuta zikiwa zimefukiwa chini wilayani Mkuranga, Pwani, ambapo pia walikuta kwenye sanduku la chuma sh. mil. 170. Majambazi watano wamekamatwa na wengine watatu walikufa walipokuwa wakikimbizwa Hospitali baada ya kujeruhiwa katika mapambano makali na polisi. Jumla ya silaha 16 zilikamatwa zikiwemo 14 zilizoporwa Stakishari. (PICHA ZOTE NA KHAMIS MUSSA) Pia baada ya kufukua kwenye shimo katikati ya msitu/vichaka katika Kijiji cha Mandimkongo, Kata ya Bupu, wilayani Mkuranga,walikuta sanduku la chuma likiwa na sh. mil. 170 noti za elfu kumi na elfu tano. Majambazi waliokufa ni Abbas Hashim, Mkazi wa Mbagala, Yasin Mkazi wa Kitunda Kivule na Said Mkazi wa Kitunda Kivule. Fedha sh. mil 170 zilivyokuwa zimepangwa kwenye sanduku la chuma na kufukiwa chini Baadhi ya pikipiki zlizotumiwa na majambazi walipovamia kituo cha polisi cha Stakishari Picha za majambazi wanaoendelea kutafutwa Pikipiki zilizotumika katika tukio la iujambazi katika Kituo cha Polisi Stakishari

Copy and WIN : http://ow.ly/KNICZ

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages