.

MAKAMU WA RAIS DK. GHALIB MOHAMED BILAL MGENI RASMI MAONYESHO YA 10 YA ELIMUYA YUU YA SAYANSI NA TEKNOLOJIA VYUO VIKUU VYA NDANI NA NJE UWANJA WA SABASABA DAR ES SALAAM

Jul 24, 2015

Makamu wa Rais Ghalib Mohamed Bilal. (kushoto) akizungumza na  wanafunzi wa  Chuo Kikuu cha Arusha mara baada ya    ufunguzi wa Maonesho ya 10 ya Elimu ya Juu ya Sayansi  na Teknolojia ya Vyuo Vikuu vya Ndani na Nje  viwanja vya Sabasaba, Dar es Salaam jana. ambapo kilelechake ni Julai 25,  mwaka huu (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA
Afisa tawala mwandamizi wa kampuni ya Uniqne Academy, Gabriel Mungaya, akizungumza na waandishi wa habari katika viwanja vya Sabasaba wakati wa Maonesho ya 10 ya Elimu ya Juu ya Sayansi  na Teknolojia ya Vyuo Vikuu vya Ndani na Nje  viwanja vya Sabasaba, Dar es Salaam jana. ambapo kilelechake ni Julai 25,  mwaka huu

Makamu wa Rais Ghalib Mohamed Bilal katika  Picha ya Pamoja na baadhi ya viongozi
Makamu wa Rais Ghalib Mohamed Bilal (kushoto) akimsikiliza Katibu Mtendaji Tume ya Vyuo  Vikuu Tanzania  Profesa Yunus Mgaya (wapili kulia) alilipokuwa akimtambulisha Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Bima la Taifa, Sam Kamanga  (kulia) na wapili kushoto ni Mwenyekiti wa Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania Profesa Awadh Mawenya.


Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Bima la Taifa, Sam Kamanga (kulia) akizungumza na wafanyakazi wa Shilika hilo Dar es Salaam jana

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Bima la Taifa, Sam Kamanga (wa tatu kulia) katika picha ya pamoja na  wafanyakazi wa Shilika hilo Dar es Salaam jana, kuanzia kulia ni maofisa wa shilika hilo, Emmanuel Ngao, Albelt Rabiel, kushoto ni Elisante Maleko na Joyce Mswia.
Makamu wa Rais Ghalib Mohamed Bilal akiwapungia mikono alipokuwa akiondoka viwanjani vya Sabasaba Dar es Salaam

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ª