.

SUGAR LAND CITY PUB KUZINDULIWA RASMI LEO JIJINI ARUSHA

Jul 24, 2015

SAM_4192
SUGAR LAND CITY PUB ILIYOPO MAJENGO JUU MWISHO WA VIACE,BARABARA INAYOKWENDA SAKINA KUTOKEA KISONGO UWANJA  MDOGO WA NDEGE,LEO KUTAKUWA NA BURUDANI YA MUZIKI ,CHOMACHOMA NA MICHEMSHO YA AINA MBALIMBALI......UNAKARIBISHWA KATIKA UFUNGUZI RASMI WA SUGAR LAND PUB SIKU YA LEO IJUMAA 24/7/2015 KWANZIA SAA 12 JIONI
KWA WATEJA WATAKAO FIKA HAPO WATAPATA NYAMA CHOMA BURE NA SUPU HUKU UKIJINUNULIA KINYWAJI CHAKO NA MUZIKI WA KUKATA NA SHOKA ...KUNAPARKING YA KUTOSHA NA ULINZI WA UHAKIKA WA MAGARI NA USALAMA WA WATEJA
PIA KUNA MAENEO YA KUKAA AMBAZO NI EXECUTIVE  KWA AJILI YA WAPENDA UTULIVU NA CENTRAL ROOM KWAAJILI YA MUZIKI MWANANA NA GARDEN ZA NJE KWA WAPENDA UPEPO NA MADHARI YA NJE ...MZIKI UTAONGOZWA NA DJ MAARUFU KABISA NA NAFASI ZITATOLEWA KWA WAIMBAJI WENYE VIPAJI MAALUM VYA KUIMBA

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ª