.

MTEMVU APOKEA MSAADA WA VYAKULA, NGUO KUTOKA KAMPUNI YA GOODONE KWA AJILI YA KITUO CHA YATIMA CHA ALQAM DAR

Jul 19, 2015


 Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Good One, Wu Ya Hui (kushoto), akimkabidhi msaada wa vyakula na nguo, sabuni na vyombo Mbunge wa Jimbo la Temeke, Abbas Mtemvu vilivyotolewa kwa Kituo cha Kulelea Yatima cha Darul Arqam cha Tandika, Dar es Salaam jana. Msaada huo uliombwa na mbunge huyo kwa kushirikiana na aliyewahi kuwa Makamu wa Rfais wa TFF, Athuman Nyamlani. PICHA NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG

 Mtemvu akipokea sabuni kwa ajili ya kituo hicho

 Mtemvu akipoea  balo la nguo za mitumba

 Mtemvu akizungumza mkatika  hafla hiyo ambapo aliipongeza kampuni hiyo ya Goodone kwa kuwa na moyo wa kutoa msaada huo Mtemvu akiwa katika picha ya pamoja na uongozi wa Goodone watoto wanaolelewa kituoni hapo pamoja na uongozi wa kituo hicho

 Wakiomba dua

 Baadhi ya watoto yatima wanaolelewa kituoni hapo

Msaada uliotolewa kituoni hapo

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ª