.

BREAKING NEWS : MV KIGAMBONI LAPOTEZA MWELEKEO UPANDE WA KIGAMBONI

Jul 19, 2015

Wananchi wakilitazama  Mv. Kigamboni baada ya  kupoteza mwelekeo na kushindwa kushusha abiria na magari  baada ya kutaka kushusha Abiria na magari upande wa Kigamboni
 Baada ya kupakia Abiria na magari upande wa kigamboni  likiwemo gari maalumu la kubebea wagonjwa lilifanikiwa kutoka upande wa kigamboni na lilipofika jirani na gati upande wa Magogoni lilipoteza mwelekeo kwa dakika kadhaa hatimaye kushusha upande wa magogoni. (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ª