Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed
Shein akisalimiana na Viongozi wa CCM wakati alipowasili katika viwanja
vya Ofisi ya CCM Kisiwandui Mjini Uguja kuhudhuria katika Kikao cha
Siku moja cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC)
Zanzibar kilichofanyika leo katika ukumbi Ofisi hiyo Mjini Unguja.
[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed
Shein na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai wakiimba Wimbo
wa Chama cha Mapinduzi kabla ya kuanza kikao cha siku moja cha Kamati
Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) Zanzibarkilichofanyika leo
katika ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed
Shein (kushoto) akiteta jambo na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar
Vuai Ali Vuai kabla ya kuanza kikao cha siku moja cha Kamati Maalum ya
Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) Zanzibar kilichofanyika leo katika
ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja.
Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar
Vuai Ali Vuai akitoa taarifa kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed
Shein kabla ya kuanza kikao cha siku moja cha Kamati Maalum ya
Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) Zanzibar kilichofanyika leo katika
ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed
Shein akiendesha kikao cha siku moja cha Kamati Maalum ya Halmashauri
Kuu ya CCM Taifa (NEC) Zanzibar kilichofanyika leo katika ukumbi wa
Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja (kulia) Naibu Katibu Mkuu wa
CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai,
Wajumbe wa Sekteratieti ya Kamati
Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) Zanzibar wakiwa katika
kikao cha Siku moja chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar
Dk.Ali Mohamed Shein katika ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini
Unguja leo,
Baadhi ya wajumbe wa Kikao cha
siku moja cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC)
Zanzibar wakipitia makabrasha ya kikao hicho kabla ya kuanza leo katika
ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja chini ya Mwenyekiti
wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo
Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein,
Wajumbe wa Kikao cha siku moja cha
Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) Zanzibar wakipitia
makabrasha yenye agenda za kikao kabla ya kuanza hicho leo katika
ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja chini ya Mwenyekiti
wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo
Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein,
Wajumbe wa Kikao cha Kamati
Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) Zanzibar wakimkaribisha kwa
makofi na kuimba wimbo wa Chama wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali
Mohamed Shein,alipoingia katika ukumbi wa Kikao hicho kilichofanyika
leo Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja,
Wajumbe wa Kikao cha siku moja
cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) Zanzibar
wakimsikiliza Mwenyekiti wa kikao Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed
Shein,kilichofanyika katika ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini
Unguja.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269