Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na
Sista.Perpetua (kushoto) aliyekuwa anaadhimisha miaka 50 ya utawa na
Sista Ponsiana (kulia) aliyekuwa anaadhimisha miaka 25 ya utawa
.Maadhimisho hayo yalifanyika katika kanisa Katoliki Lugoba jana.
(Picha na Freddy Maro).
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269