.

MFAHAMU MGOMBEA UDIWANI MWNYE KIU YA KUWATUMIKIA WANANCHI WA KWIMBA

Aug 18, 2015

Aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Wilaya ya Kwimba 2008-2014 kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Augustus Rusimbya  na hatimaye  kujiunga na ACT nakushika nyazifa ya Uwenyekiti wa Chama hicho hadi sasa ni Mwenyekiti wa Chama cha ACT  Wilaya ya Kwimba , ambaye anauzoefu  na akisaidiana na Mbuge Retisia Nyerere, ambapo kwa sasa anagombea nafasi ya Udiwani kupitia Kata ya Ngudu  kwa kupitia chama hicho (PICHA NA KHAMISI MUSSA)

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ª