Breaking News

Your Ad Spot

Sep 22, 2015

DK MAGUFULI: SIKUOMBA URAIS KUTAFUTA FEDHA BALI KUWAFANYIA KAZI WANANCHI


 Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, akijinadi kwa wananchi kwenye mkutano wa kampeni katika Uwanja wa Gymkhana mjini  Bukoba.  Dk Magufuli amesema kuwa yeye alipoamua kugombea urais hakufuata fedha bali kufanya kazi tu.
 Wananchi wakishangilia hotuba ya Dk Magufuli mjini Bukoba leo
 Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli, akiwapungia mikono kuwaaga wananchi baada ya kujinadi katika mkutano wa kampeni katika Jimbo la Muleba Kusini
 Dk Magufuli akiwapungia mkono wananchi akiwemo Kamanda wa Poilis wa zamani wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Alfred Tibaigana katika Kijiji cha Buganguzi, Muleba Kusini
 Dk Magufuli akiomba kupigiwa kura Muleba Kusini katika Uchaguzi Mkuu Oktoba 25 mwaka huu.


 Mtoto akipeperusha bendera ya Taifa katika mkutano wa kampeni za DK Magufuli Muleba Kusini

 Dk Magufuli akiifariji familia ya aliyekuwa mgombea udiwani Kata ya Muleba, Oswald ambaye aloifariki dunia katika ajali ya pikipiki
 Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akimfariji mjane wa aliyekuwa mgombea udiwani Kata ya Muleba, Oswaid Rwakabwa, Georgia  alifariki dunia kwa ajali ya pikipiki mjini Muleba, Mkoa wa Kagera. Dk Magufuli aliifariji familia hiyo kabla ya kwenda kwenye kampeni  katika Jimbo la Muleba Kusini
 Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akimfariji mjane wa aliyekuwa mgombea udiwani Kata ya Muleba, Oswaid Rwakabwa, Georgia  alifariki dunia kwa ajali ya pikipiki mjini Muleba, Mkoa wa Kagera. Dk Magufuli aliifariji familia hiyo kabla ya kwenda kwenye kampeni  katika Jimbo la Muleba Kusini
 Wananchi wakishangilia baada ya kumuona Dk Magufuli akiwasili katika mji wa Kamachumu Muleba Kaskazini kuendelea na kampeni
 Dk Magufuli akijinadi kwa wananchi katika Mji wa Kamachumu Muleba Kaskazini
 Mmoja wa wanachama wa upinzania akijitangaza kujiunga na CCM KATIKA MKUTANO WA KAMPENI ZA ccm
 Dk Magufuli akiomba kura kwa wananchi katika Kata ya Nshamba Muleba Kusini
 Wananchi wakifurahishwa na ujio wa Dk Magufuli katika Kata ya Kamachumu, Muleba Kaskazini
 Mgombea ubunge Jimbo la Muleba Kaskazini kijinadi kwa wananchi
 Dk Magufuli akijinadi kwa wananchi Muleba Kaskazini
 Mmoja wa wakazi wa Kamachumu akisikiliza kwa makini wakati Dk Magufuli akihutubia na kujinadi kuomba kura kwa wananchi
 Wananchi wakimsikiliza kwa makini Dk Magufuli akijinadi kwa wananchi eneo la Kemondo
 Ni furaha iliyoje kwa wananchi hawa baada ya kumuona Dk Magufuli alipowasili katika mkutano wa kampeni  katika Kata ya Marukucha MaBukoba Vijijini
 Mwakilishi wa watu wenye ulemavu kwenye kampeni za CCM, Amon Mpanju akielezea wasifu wa Dk Magufuli
 Dk Magufuli akijinadi kwa wananchi katika Kata ya Maruku, Bukoba Vijijini
 Wananchi wakisikiliza kwa makini wakati Dk Magufuli akielezea sera za CCM
 Wananchi wakishangilia hotuba ya Dk Magufuli
 Dk.Magufuli akimnadi Mgombea ubunge Jimbo la Bukoba Vijijini, Jasson Rweikiza wakati wa mkutano wa kampeni katika Jimbo hilo
 Wananchi wakishangilia wakati Dk Magufuli akiingia kwenye Uwanja wa Gymkhana mjini



 Chege na Temba wakitumbuiza katika mkutano huo
 Yamoto Bandi ikitumbuiza
 FD Q akitumbuiza
 Mgombea ubunge jimbo la Muleba Kaskazini, Charles Mwijage akielezea umuhimu wa wananchi kumpigia kuraDk Magufuli. Wengine ni wagombea ubunge viti maalumu kupitia Mkoa wa Kagera. Kulia ni Halima Bulembo
 Kundi la Diamond likitumbuiza wakati wa mkutano huo

 Dk Magufuli akisalimiana na msanii wa muziki wa kizazi kipya Abdul Naseeb Diamond Platnumz
 Mgombea ubunge Jimbo la Bukoba Mjini, Khamis Kagasheki akijinadi kwa wananchi wakati wa mkutano wa kampeni mjini Bukoba
 Mgombea urais  wa Tanzania kupitia CCM akijinadi kwa wananchi, Dk John Magufuli  kwenye Uwanja wa Gymkhana mjini Bukoba

PICHA ZOTE NA RISHARD MWAIKENDA-KAMANDA WA MATUKIO BLOG

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages