Balozi wa Tanzania nchini Marekani, Wilson Masilingi akimkabidhi Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete Tuzo ya Utawala Bora ya Baraza la Biashara la Wana-Afrika Mashariki Waishio Marekani na nchi nyingine (East African Diaspora Business Council Award) leo, Jumatatu, Septemba 21, 2015 mjini Washington, D.C. Balozi Masilingi ndiye alimwakilisha Dkt. Kikwete katika sherehe ya kukabidhi tuzo hiyo usiku wa jana, Jumapili, Septemba 20 kwenye Hoteli ya Hyatt Regency, Dallas, Jimbo la Texas. (Picha na Freddy Maro).
Your Ad Spot
Sep 22, 2015
Home
Unlabelled
RAIS KIKWETE APATA TUZO YA BARAZA LA WAYANYABIASHARA LA WANA AFRIKA MASHARIKI WAISHIO MAREKANI NA NCHI NYINGINE
RAIS KIKWETE APATA TUZO YA BARAZA LA WAYANYABIASHARA LA WANA AFRIKA MASHARIKI WAISHIO MAREKANI NA NCHI NYINGINE
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269