Rais. Kikwete akitoa hotuba yake ya ufunguzi wa Chuo cha Ukamanda na unadhimu Dukuti nje kidogo ya mji wa Arusha
Mkuu wa Chuo Cha Ukamanda na Unadhimu Meja Jenerali Ezekiel Kyunga kulia akimuonyesha Amiri Jeshi Mkuu Rais Kikwete maeneo mbalimbali ya Chuo hicho muda mfupi baada ya Rais Kikwete kuzindua Chuo hicho eneo la Duluti nje kidogo ya mji wa Arusha. Kushoto ni Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange.
Amiri Jeshi Mkuu Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikagua vitabu katika maktaba ya Chuo cha Unadhimu na Ukamanda alichokizindua.
Rais Kikwete akiangalia mitaala inayofundishwa katika chuo cha Ukamanda na Unadhimu katika moja ya kompyuta chuoni hapo muda mfupi baada ya kuzindua chuo hicho eneo la Duluthi nje kidogo ya mji wa Arsuha . Kushoto ni Mkuu wa Chuo hicho Meja Jenerali Ezekiel Kyunga.
Rais kikwete akitoa ushauri wakati akikagua majengo ya Chuo
Cha Ukamanda na Unadhimu kilichopo eneo la Duluti nje kidogo ya mji wa
Arusha leo. Wapili kushoto ni Waziri Mkuu Mizengo Pinda,kushoto ni Mkuu
wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange, Wapili kushoto ni Mkuu wa chuo
hicho Meja Jenerali Ezekiel Kyunga na kulia ni mwakilishi kutoka Umoja
wa Falme za Kiarabu Balozi Ibrahim Al Suweidy. umoja wa Falme za Kiarabu
ulishirikiana na Serikali kufadhili ujenzi wa Chuo hicho.
Muonekano wa baadhi ya majengo ya Chuo cha Unadhimu na ukamanda.
(Picha na Freddy Maro),
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269