Breaking News

Your Ad Spot

Sep 5, 2015

MKURUGENZI WA UJIJIRAHAA BLOG ATEMBELEA STENDI KUU YA MABASI IRINGA NA KUFIKA KILOLO VIJIJINI.

 Wanafunzi wanaotoka Shule mbalimbali wakiwa hawajui wafanye nini baada ya usafiri katika kituo cha Mabasi Iringa Mjini leo  kwa usafiri kuwa washida, ambapo wanafunzi hao wamefunga Shule na wanarudi makwao kwa maandalizi ya Upigaji kura katika Daftari la wapigakura. (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
 Taswira katika Stendi ya Mabasi Iringa Mjini hali ilivyokuwa tete
 Wanafuzi walionekana wengi kituoni hapo


 Wananchi wakiwa katika kituo hicho cha Mabasi Iringa Mjini
 Wanafunzi wakishauriana jambo
 Mfanya biashara wa makoti akisaka wateja katika stendi  kuu ya mabasi Iringa Mjini
 Wanafunzi wakiwa na sintofahamu wakiwa katika mshangao

 Mkurugenzi wa Ujijirahaa blog akisoma bango la Halmashauri ya Kilolo
 Hapa ni kazi tu
 Bango kama linavyo someka
 Bango kama linavyo someka
 Barabara iendayo Halmashauri ya Kilolo
 Wanakijiji cha Ndiwili Kataa ya Luhota Wilaya ya Iringa (v) Mkoa wa Iringa  katika mauzo ya nyanya maji wakiwasubiri wateja 
 Wanakijiji cha Ndiwili Kataa ya Luhota Wilaya ya Iringa (v) Mkoa wa Iringa  katika mauzo ya nyanya maji wakisubiri wateja 
Bango kama linavyo someka katika Kijiji hicho

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages