Rais Kikwete
akimwapisha aliyekuwa Naibu Waziri wa Maji Amos Makalla kuwa Mkuu wa Mko wa Kilimanjaro (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
Rais Kikwete akimkabidhi mkuu wa mkoa vitembea kazi
Rais Jakaya Kikwete
akimwapisha aliyekuwa mkuu wa wilaya ya morogoro kuwa mkuu wa mkoa wa Lindi
Rais
Jakaya Kikwete akimuapisha Dk. Tulia Ackson kuwa Naibu mwasheria mkuu
wa Serikali katika hafla iliyofanyika Ikulu Dar es Salaam, kabla ya
kushika wadhifahuo, Ackson alikuwa mhadhiri mwandamizi, Chuo kikuu cha
Dar es Salaam (USDM) Kitivo cha sheria
Rais Jakaya Kikwete
akimwapisha Bi. Victoria Richard Mwakasege aliyekuwa Naibu Balozi wa
Tanzania nchini Burundi. Balozi
Victoria R. Mwakasege anaiwakilisha Tanzania nchini Malawi. Hafla hiyo
ilifanyika Ikulu, Dar es Salaam tarehe 16 September, 2015
Rais Kikwete akimkabidhi Balozi Mwakasege vitendea kazi
Rais
Jakaya Kikwete
akimwapisha aliyekuwa Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Afrika Wizara ya
Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bi.Zuhura Bundala kuwa Balozi
na Msaidizi wa Rais (Diplomasia) anajaza nafasi iliyoachwa wazi na
Balozi Samweli Shelukindo.
Balozi Bundara akisaini kiapo chake mbele ya Rais Kikwete
Rais Kikwete akimkabidhi Balozi Bundara vitendea kazi
Rais Jakaya Kikwete
akimwapisha aliyekuwa Mkurugenzi Msaidizi, Ubalozi wa Tanzania, Kampala,
Uganda Bi. Anisa Mbega kuwa Balozi na Mkurugenzi wa Idara ya Diaspora
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa.
Rais Kikwete akimkabidhi Balozi Mbega vitendea kazi
Mhe. Rais Kikwete (wa nne kutoka kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Balozi Mbega na wanafamilia.
Rais Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Mabalozi wapya pamoja na
Waziri Membe, Katibu Mkuu, Naibu Katibu Mkuu, Wakurugenzi, Wakuu wa
Vitengo na watumishi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa
Kimataifa.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269