Breaking News

Your Ad Spot

Sep 29, 2015

SAMIA:MWANAUME WA KUISUMBUA SERIKALI HAJAZALIWA

Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia
Suluhu Hassan akiwapungua mkono wananchi waliofika kumlaki alipowasili mkoani
Morogoro. Kulia ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dodoma, Adam Kimbisa na wapili ni
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Morogoro, Inocent Karogeres

Mgombea mweza wa Urais kupitia CCM,Bi Samia Suluhu Hassan,amefanya kampeni Mikoa ya Tanga,Manyara kibaya,Dodoma katika jimbo la Chemba na Mkoa wa Morogoro.

Nimeakuandalia makala fupi kuhusu kampeni ya Mama Samia,Msikilize hapa 


No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages