.

CCM UINGEREZA WAPONGEZA USHINDI WA DK. MAGUFULI

Oct 29, 2015


CCM TAWI LA UINGEREZA Linatoa Pongezi nyingi sana kwa ushindi mkubwa aliopata aliyekuwa mgombea wa urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Joseph Magufuli pamoja na wabunge, madiwani na wote walioshiriki kwa namna moja au nyingine kufanikisha ushindi huu mkubwa.
CHAMA CHA MAPINDUZI - UINGEREZA."

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ยช