.

HAFLA YA UTOAJI TUZO ZA NANI KAMA MAMA NA BALOZI WA HESHIMA WA LUGHA YA KISWAHILI AFRIKA 2015.

Oct 26, 2015

  Normal
0

false
false
false

EN-US
X-NONE
X-NONE

MicrosoftInternetExplorer4
Mkurugenzi wa Taasisi ya Taaluma za Kiswahili (TATAKI), Dkt Ernesta Mosha akizungumza
wakati wa hafla ya utoaji Tuzo ya heshima ya Balozi wa kiswahili Afrika
ilifanyika  jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Wilaya ya Temeke ya Temeke, Sophia Mjema (kushoto) akineonesha Tuzo aliyokabidhiwa kwa niaba ya Mke wa Rais
Mama Salma Kikwete.
ya Balozi wa heshima wa lugha ya kiswahili Afrika 2015 kutokana na matumizi yake
ya Kiswahili ndani na nje ya Afrika. 
 Wageni waalikwa .
Wageni waalikwa .

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ª