Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisaini Kitabu cha Maombolezo ya msiba wa aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa
Simiyu, Marehemu, Pascal Mabiti, wakati wa shughuli ya Msiba
iliyofanyika nyumbani kwa marehemu, Upanga jijini Dar es Salaam,
Okt. 15, 2015.
Picha na OMR
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiwafariji wanafamilia wa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Marehemu Pascal
Mabiti, wakati wa shughuli ya kuaga mwili wa marehemu iliyofanyika
nyumbani kwa marehemu Upanga jijini Dar es Salaam.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akitoa heshima za mwisho mbele ya Jeneza lenye mwili wa Mkuu wa Mkoa wa
Simiyu marehemu, Pascal Mabiti, wakati wa shughuli za kuaga
zilizofanyika nyumbani kwa marehemu, Upanga jijini Dar es Salaam.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda, akitoa heshima za mwisho mbele ya Jeneza lenye
mwili wa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu marehemu, Pascal Mabiti, wakati wa
shughuli za kuaga zilizofanyika nyumbani kwa marehemu, Upanga jijini Dar
es Salaam





No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269