Balozi
Amina Salum Ali akiwatambulisha wagombea wa CCM Jimbo la Kiembesamaki,
(kulia) Mahmopud Thabit Kombo Mgombea Uwakilishi na Ibrahim Raza Mgombea
Ubunge.
Mgombea
Uwakilishi Jimbo la Kiembesamaki Mahmoud Thabit Kombo akiwaonyesha
wanachama na wapenzi wa Chama hicho mfano wa karatasi ya kupiga kura kwa
nafasi ya Rais wa Zanzibar katika mkutano wa kampeni uliofanyika mtaa
wa Mombasa.
Wagombea
Ubunge Jimbo la Kiembesamaki Ibrahim Raza na mwenzake wa Jimbo la
Welezo Sada Mkuya wakiteta jambo wakati wa mkutano wa kampeni Jimbo la
Kiembesamaki uliofanyika mtaa wa Mombasa.
Baadhi
ya wanachama na wapenzi wa CCM wa Jimbo la Kiembesamaki wakiwasikiliza
viongozi wao kwenye Mkutano wa kampeni uliofanyika mtaa wa Mombasa.
Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar.




No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269