Breaking News

Your Ad Spot

Oct 17, 2015

MTEMVU MGENI RASMI MKUTANO WA HADHARA SAMBAMBA NA UZINDUZI WA MASHINA 9 YA WAKEREKETWA WA CCM JIJINI DAR ES SALAAM

 Mratibu wa Kampeni Jimbo la Temeke na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM (W) Temeke Mustafa Hakika,  akimnadi Mgombea Ubunge kupitia Chama hicho,wakati wa Mkutano wa hadhara wa mgombea Ubunge Jimbo la Temeke. Dar es Salaam,  kulia ni Mgombea Udiwani kupitia CCM na ni  Kepten Kenny Makinda.(PICHA NA KHAMISI MUSSA) UJIJIRAHAA BLOG
 Wanachama
 Katibu Mwenezi wa Jimbo la Temeke, Ali Kamtande akihutubia jukwaani
 Wanacha wakipunga mikono
 Mgombea Udiwani Viti maalum Kata Amina Lalani akihutubia jukwaaniwakati wa mkutano huo
 Mgombea Ubunge Abbas Mtemvu akionyesha Kadi kati ya wanachama walio rudisha kadi  wakitokea vyama vya upinzani
Badhi ya madereva wa Mbunge wa Jimbo la Temeke Abbas Mtemvu  wakimfariji dereva mwenzao  baada ya kuvamiwa na wanaosadikiwa ni vijana wa Mitaani  walio uvamia msafara wa mbunge huyo alipokuwa katika kapeni zake za kunadi sera za chama cha Mapinduzi katika Jimbo lake la Temeke, walirushiwa mawe na wengi kujeruhiwa na gari kuvunjwa vioo
Add caption




 Mjumbe wa Halmashauri Kuu Kata ya Vituka.Selemani Ally (kulia)  alisalimiana na Mgombea Ubunge Jimbo la Temeke Abbas Mtemvu  na kushoto ni Mgombea Ubunge Jimbo la KisaraweMkoa wa Pwani Seleman Jaffo

 Mwanafunzi wa Darasa la 4 katika shule ya msingi Uwanja wa Ndege Hamida Shabani   (wa kwanza kushoto) akiwaongoza wenzake kuimba ngonjela wakati wa mkutano wa hadhara wa mgombea Ubunge Jimbo la Temeke.
 Katibu wa CCM wa Yombo Vituka Rashidi Manjasi akihutubia katika mkutano huo
 Wamama wa cha cha Mapinduzi wakiwa katika mkutano huo wakisikiliza Sera na Ilani ya chama hicho

 Mgombea Ubunge Jimbo la Temeke Abbas Mtemvu  akizindua Shina la wakereketwa kati ya mashina 9 yalizinduliwa

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages